MASKINI YA MUNGU WEEE!!!, MISS DODOMA NAE AJITOA MUHANGA APIGA PICHA ZA UTUPU SASA YAMEKUWA MASHINDANO, WAZEE WA KABILA LA KIGOGO WATOA TAMKO KWA MREMBO HUYO KUUTIA NAJISI MKOA HUO. 18+ HAWARUHUSIWI KUONA INATISHA..!!

1
 Miss Dodoma Jackline akionesha makalio yake makusudi ili wananchi wayaone yalivyoumbika huku mezani maji makubwa ya Ki na unyunyu vikionekana.

Na Mwandishi wa Xdeejayz-DODOMA
Sasa haya ni mashindano ndivyo tunavyoweza kusema maana kila siku ya Mungu mastaa wetu wanazidi kufanya vitu vya ajabu kiasi cha kusikitisha kama si kushangaa ambapo safari hii mtandao huu hatari kwa habari  za uchunguzi  wa Xdeejayz imenasa picha ya mrembo maarufu Mkoani Dodoma na anaeheshimika sana Mkoani humo kutokana na kazi zake za kijamii anazozifanya.
Habari za uhakika toka kwa chanzo chetu cha habari toka mkoani humo zilisema kuwa mrembo huyo aliyefahamika kwa jina moja la Jackline na haifahamiki ni wa mwaka gani hivi karibuni amepiga picha za kutosha kama hana akili nzuri zinazomuonesha makalio yake wazi kwa lengo la kutafutia pesa kwa Waheshimiwa mjengoni.
Habari zaidi ziliendelea kueleza mrembo huyo ambae kwa sasa ana mahusiano na Mbunge mmoja maarufu ambae pia ni mfanyabishara na mwenye rangi ya kiarabu na anatokea kwenye moja ya mikoa ya katikati ya nchi yetu lakini cha kushgangaza licha kula good time kwa Mhesimiwa huyo bado amepiga picha za namna hiyo za kujidhalilisha.
" Inashangaza sana kwa kweli huyu Jackline ni kama amekuwa nyumba ndogo ya Mbunge huyo na hakuna asiyefahamu Dodoma nzima na amemnunulia gari ya maana ili atulie nae lakini ajabu ni kwamba amepiga picha za aibu tena anaonekana yuko na mwanaume hotelini" Kilisema chanzo hicho
Aidha katika hatua nyingine Jackline  imeelezwa kuwa kuvuja kwa picha hiyo huenda kukampeperushia bata zake kwa Mbunge huyo kwani sidhani kama tapenda kuona akidhalilika kiasi hicho.
Kufuatia kwa tukio hilo Wazee wa kabila la Kigogo walitoa msimamo wao na kuelezea " Sasa naona hawa wasichana wameanza kuuharibu mkoa wetu, hatukuwa na matukio kama haya kipindi cha nyuma tulikuwa tunayasikia huko Dasalama lakini sasa yameanza kutokea na hapa hakika tusingependa kuona upuuzi huu unaendelea na tutajua tutakachokifanya kwa huyo bint ili iwe fundisho kwa wengine" Alisema mzee mmoja aliyefahamika kwa jina la Majenzi
 Xdeejayz ilifanya jitahada za kumtafuta Jack ili kuelezea upuuzi wake  alioufanya lakini kwa bahati mbaya hakuweza kupatikana hadi habari hii inaapia hewani.
TAARIFA: Blog hii inatoa taarifa kwa watembeleaji wetu kuwa sisi hatuhusiki na upigwaji wa picha za wahusika wote wanaoripotiwa humu isipokuwa tunatoa habari hizi kama moja ya habari za kuwafikia nyie na kuungana na taasisi na mashirika ikiwemo blog hii kupinga upuuzi huu unaofanywa na mabinti zetu tena makusudi kabisa na kwa kujitambua na tuungane kulani tabia hizi kwa maslahi ya taifa letu.
Aidha masharti ya blog hii yanapatikana wanaoruhusiwa kutembelea ni wale watu wazima tu si vinginevyo hayo ndiyo masharti tuliyopewa na Bloger: Mhariri
WARINING: Chini 18 wasitizame picha hii nibalaa

1 comment:

  1. Hawa wanaofanya hivi hawana wazazi? Wanajisikiaje wazazi,kaka,dada,wajomba zao kuwaona hivyo wanajisikiaje?? au wameshalaaniwa! Ndo utandawazi siyo! TOO MUCH!!!!

    ReplyDelete