Hapa Mrembo wa Facebook akiwa ameanza kuvua nguo taratibu ilikuwa kama masihala vile.
Fathiya hapa ameamua kuvua kabisa ili kubaki na chupi peke yake.
Na Mwandishi Wetu
WakatI maelfu ha
waumini wa dini la Kiislam duniani wakiwa ndani ya mfungo mtukufu huku
wengi wao wakitumia kipindi hiki kupunguza maovu yao kwa mola kwa
kufanya ibada,Hali imekuwa tofauti aliyekuwa mshiriki wa shindano la
kumtafuta Miss Utalii Taifa Faithiya Madoud amepiga picha chafu za
kujidhalilisha pamoja na kumdhalilisha mwanamke wa kitanzania.
Picha hizo chafu kwa
mara ya kwanza zilinaswa na Xdeejayz toka kwa chanzo chetu cha habari
ambapo inadaiwa msichana huyo ambae ameanza kuonja radha ya ustaa
kufuatia kufanya vyema kwenye filamu za Mrembo wa Facebook na Nimpende
Nani ambapo filamu zote hizo amecheza kama staa.
Habari za uhakika
toka kwa chanzo chetu klichofikisha cd nzima ya picha hizo mezani kwa
mtandao huu hatari kwa kunasa matukio magumu kilisema kuwa msichana huyo
ambae mapema mwaka huu alishiriki shindano hilo la Miss Utalii Taifa
yaliyofanyika Mkoani Tanga. Lakini kwa bahati mbaya hakufanikiwa kushika
nafasi za chini lakini alichaguliwa kuwa balozi wa Hotel zote za
Kitalii nchini Tanzania pamoja na Kule Zanzibar
Hata hivyo habari
zaidi ziliendelea kusema kuwa bint huyo kabla ya kuingia kwenye umiss
alikuwa ni msanii maigizo na ametamba sana kwenye filamu hizo kiasi cha
kujizolea umaarufu mkubwa nchini.
Aicha chanzo hicho
kilisema picha hizo ambazo nyingine ni mbaya sana ambapo blog hii
imeshindwa kuzitundika zote kwa kuzingatia maadili kwa wasomaji wetu
lakini ilidaiwa kuwa picha hizo alikuwa anapigwa na mwanamke mwenzake na
ilionekana walikuwa Hotel na haikufahamika walifika kufata nini kwenye
nyumba hiyo ya wageni.
Baada ya kupata
picha hizo xdeejayz ilivuta waya moja kwa moja hadi kwa staa huyo
mtarajiwa na kwa bahati nzuri simu yake ilipokelewa na yeye mwenyewe na
haya ni mahojiano kati ya mwandishi wa Xdeejayz na mrembo huyo "
Xdeejayz habari yako dada bila shaka naongea na Fathiya? " Ndiyo habari
yako nani mwenzangu?"
Xdeejayz"
Hapa ni ofisi za DTV kupitia blog ya Xdeejayz" Fathiya" Ndiyo nikusaidieni nini DTV?"
"Xdeejayz ahsante
sana Fathiya ofisi yetu imenasa picha zako za utupu hivyo tulitaka ufike
ofisini kwetu ili kuzitambua kama inawezekana au thubitisha kama
uliwahi kupiga picha na namna hiyo"
"Fathiya umesema wewe nani?
"Xdeejayz ofisi za DTV kupitia blog ya xdeejayz"
"Fathiya sasa kwani
nani kawaletea hizo picha? mimi hizo picha nilipiga kwa matumizi yangu
binafsi sasa nyie inawahusu nini lakini mbona waandishi wa Tanzania
mnapenda kufatilia maisha ya watu? Sitaki kabisa mtoe picha zangu kwenye
Tv yenu au gazeti la sivyo nitakufa na mtu sipendi kabisa ****** zenu"
Alimalizia na tusi Fathiya kisha akaata simu.
Hata hivyo juhusi za
kumtafuta Rais wa Miss Utalii Tanzania Gedion Chipungahelo
hazikufanikiwa baadaya namba yake ya simu kushindwa kupokelewa.
XDEEJAYZ ina laani vikari tabia za mabint wenye tabia chafu kama hizi za kujipiga picha za kujidhalilisha bila sababu za msingi.
rahaescorts.com warembo wa kutomba Tanzania na Kenya / casual dates in Kenya to sex with pretty ladies and have fun, get massage and extras from our girls at a small fee
ReplyDelete